
mchakato wa wagombea watakaowakilisha vyama vyao umeonekana kuanza vizuri na mgombea mweusi mwenye asili ya ki-africa Barack Obama kuibuka mshindi na kumpita mpinzani wake mkubwa bi-Hillary Clinton aliyeshika nafasi ya tatu.tunamtakia kila la heri Obama kwenye uchaguzi unaofuata huko hampshire. BIG Uppppppppp boy


No comments:
Post a Comment